Tofauti ya ubongo wa
mwanamke na wa mwanaume. (Human brain analysis) - By Giningi Siyabonga
(Braza Joni)
1. Ubongo wa mwanamke unaweza kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja;
mfano kuzungumza kwenye simu na kufuatilia kipindi kwenye TV. Mwanaume
hawezi.
2. Lugha: wanawake wanaweza kujifunza lugha nyingi kwa urahisi. Chukua
mtoto wa kike na wa kiume wenye umri wa miaka mitatu. Mara nyingi wa
kike atakuwa anajua maneno mengi kuliko wa kiume.
3. Kusema uongo: mwanaume akimdanganya mwanaume uso kwa uso ni rahisi
kushtukiwa. Wanawake hugundua ukweli kupitia uso wako kwa 70%, kupitia
body language yako 20% na 10% kupitia maneno yako. Ubongo wa mwanaume
hauna uwezo wao ndiyo maana ni rahisi mwanamke kumdanganya mwanaume uso
kwa uso. Guys, next time ukiwa unamdanganya msichana ni better mkiwa
hamko uso kwa uso.
4. Uwezo wa kutatua matatizo: mwanaume akiwa na matatizo, ubongo wake
huyachukua na kuyatenga katika makundi mbalimbali na kisha huanza
kutafuta suluhisho moja baada ya jingine. Mwanamke akiwa na matatizo
ubongo wake hauwezi kuyatenga na badala yake hutaka mtu amsikilize.
Baada ya kumwambia mtu matatizo yake yote akili yake hupata kiwango
fulani cha utulivu na huwa mara nyingi hajali kama yatatuliwa au la.
5. Mahitaji: Wanaume wanahitaji heshima kwenye jamii, mafanikio, sifa,
nk.; wanawake wanapenda mahusiano, familia, marafiki, etc.
6. Kuongea: mwanamke mara nyingi hutumia lugha ya kificho. Mwanaume
hutumia lugha ya moja kwa moja. CHANZO NI MASANJA MKANDAMIZAJI
Latest Post
Showing posts with label HABARI. Show all posts

18:39
HII NDIO TOFAUTI YA UBONGO WA MWANAMKE NA WA MWANAUME:( HUMAN BRAIN ANALYSIS)
Written By Unknown on Friday, July 5, 2013 | 18:39
Labels:
HABARI
18:33
MICHELLE OBAMA:ACHENI KUFUATILIA MAVAZI YANGU
Michelle Obama na Laura Bush walikuwa kivutio jana kwenye Mkutano wa wake wa marais wa Afrika unaoendelea Dar es Salaam, pale walipoongelea kwa mzaha jinsi vyombo vya habari vinavyoshupalia kuandika kuhusu staili za nywele na mavazi ya wake wa marais, huku vikiacha masuala ya msingi. Mkutano huo uliofunguliwa jana na Rais Jakaya Kikwete, ni maalumu kwa ajili ya kusaidia wanawake wajasiriamali wa Afrika, unatarajiwa kumalizika leo. Wakizungumza kwenye mjadala ulioongozwa na Mwandishi wa Habari wa Marerkani, Cokie Roberts, Michelle, ambaye ni mke wa Rais wa Marekani, Barack Obama, alisema alifurahia kupata nafasi ya kufanya majadiliano na Laura, ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Marekani. “Ninampenda mwanamke huyu,” alisema Michelle kwa utani kama vile hamfahamu. “Sishangai sana maana tuko klabu moja nadhani,” alijibu Laura kwa utani akiwa na maana kuwa, wao wote wana uzoefu wa kuwa wake wa marais. “Unajua tunaishi maisha ya shida, maana wenzetu wa habari wanaangalia zaidi staili za mavazi na nywele zetu badala ya kuangalia mambo ya msingi,” alisema Michelle. Alisema mwanzoni mwa mwaka huu, alibadili staili ya nywele lakini alishangaa jinsi suala hilo lilivyokuzwa na vyombo vya habari. “Watu wanapaswa kuelewa, wake za marais nao hufanya mambo mazuri ya jamii na kazi yao siyo kubadili staili za nywele na mavazi tu,” alisema Michelle, ambaye anasifiwa na majarida mbalimbali ya Marekani na Ulaya kwa mitindo yake ya mavazi na nywele. “Nadhani ndugu zetu wanahabari watabadilika,” alitania Laura wakati wa mjadala huo. Cherie Blair Naye Mke wa Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair, Cherie, jana alitangaza mpango wa kuwasaidia wanawake wa Afrika kufanya biashara kwa kutumia mawasiliano ya simu. Mpango huo unasimamiwa na Taasisi ya Cherie Blair Foundation kwa kushirikiana na Kampuni ya ExxonMobil. Akitangaza mpango huo kwenye mkutano wa wake za marais wa Afrika, Cherie alisema watatoa mafunzo ili kufanikisha mkakati huo. Cherie, ambaye kitaaluma ni Mwanasheria, alisema wameanza utekelezaji wa mpango huo nchini Tunisia.
Labels:
HABARI
18:28
UCHAGUZI WA ARUSHA WAAHIRISHWA TENA ILI KUIMARISHA HALI YA AMANI NA UTULIVU
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeahirisha tena uchaguzi wa madiwani kata nne za Arusha hadi Julai 14 kuruhusu kurejea utulivu baada ya mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa kampeni wa Chadema ulioathiri uchaguzi huo wiki iliyopita. Bomu hilo lilirushwa Juni 15 na mtu asiyejulikana katikati ya mkutano wa Chadema katika viwanja vya Soweto, mjini Arusha na kusababisha vifo vya watu watatu na wengine kujeruhiwa na uchaguzi huo wa Juni 16 kulazimika kuahirishwa. Baada ya tukio hilo, Msimamizi wa Uchaguzi wa Arusha aliuahirisha hadi Juni 30, lakini jana Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian Lubuva alisema utafanyika Julai. Kata zinazohusika ni Elerai, Kimandolu, Thani na Kaloleni. Akizungumza na waandishi wa habari, Jaji Lubuva alisema walipotangaza kuwa uchaguzi ungefanyika Juni 30 waliamini kuwa hali ya utulivu na amani ingekuwa imetengemaa. “Lakini kwa bahati mbaya tumejiridhisha kuwa hali bado inahitaji kuangaliwa kuhakikisha imerejea katika utulivu wake kikamilifu. “Hiyo haimaanishi kuwa ni mbaya, isipokuwa tumeona bado tunahitaji muda wa kama wiki mbili hivi kuona vumbi lililokuwa likitimka limetulia,” Jaji Lubuva alisema. Kwa mujibu wa Jaji Lubuva, wapiga kura hawapaswi kutekeleza haki yao ya kupiga kura katika wasiwasi hivyo ni wajibu wa Tume kuhakikisha unaondoka na wapiga kura wanatekeleza haki yao kwa amani. “Tunataka watu wajihisi huru wakati wa kupiga kura, ndiyo maana tumeahirisha uchaguzi wa kata hizo kwa mara nyingine. Wanapokuwa na amani na uhuru wapiga kura wanaweza kuchagua wanayemtaka kwa utaratibu mzuri, vinginevyo, shughuli yote ya kupiga kura inaweza kuharibika,” alisema Lubuva. Aidha, alitaka wagombea na vyama kutoendeleza kampeni kwa sababu kuahirishwa kwa uchaguzi hakumaanishi kuwaongeza muda wa kujinadi au kutafuta wapiga kura wa kuwaunga mkono. “Muda wa kupiga kura haujabadilika. Vituo vya kupigia kura havijabadilika na vitafunguliwa saa moja asubuhi na kufungwa saa 10 jioni. Waliokuwa katika mstari ndio watakaopiga kura na watakaofika vituoni baada ya muda huo kwisha hawataruhusiwa kupiga kura ili kutoa nafasi ya kura kuhesabiwa,” alisema. Jaji Lubuva alisema matokeo ya uchaguzi huo mdogo yatatangazwa mapema na taratibu za uchaguzi zitazingatiwa ili kutoa haki kwa wapiga kura na wanaopigiwa kura. Inadaiwa bomu hilo lililokuwa kwenye mfuko wa plastiki, lilirushwa na mtu asiyejulikana. Waliopoteza maisha katika tukio hilo ni Amir Ally (7), Judith Moshi na Amir Ally.
Labels:
HABARI
18:24
MWENGE KIMENUKA , POLISI NA MGAMBO WA JIJI WASHIRIKIANA KUPAMBANA NA WAMACHINGA
Leo jioni wakati natoka katika shughuli zangu nilipita maeneo ya Mwenge
pale stand ya mabasi nimekuta kweupe wale vijana wanao uza nguo kwa
kupanga chini na kuzishika sikuwaona ...nikauliza nikaambiwa wamefukuzwa
kwa ajili Oboma Anakuja...Mmhhh Kazi kweli kweli ...
Wakati bado nashangaa shangaa Mara likaja gari la Polisi na Wale mgambo
wa jiji...Mara nikaona watu wanakimbia huku na kule ...Kushangaa kumbe
wale wamachinga bado wapo ila wanauza kwa kujificha ficha kwenye
vichochoro vya maduka..Sasa Kimbembe kikaanza wale wanamgambo
wakawafuata huko huko na kuanza kuwapiga na kuwavunjia meza na viti
vyao...Kwa kweli iliniuma sana kuona watanzania wenzetu wakifanyiwa
hivyo ....Bado sijapata jibu ...siko zote mbona hawakufukuzwa ?? Huu
Ugeni ndio imekuwa Nogwaaaaa....
Na uhakika kuna ambao wanalisha na kutunza familia kwa kazi hizi za
umachinga sasa watakula wapi kama hali ndio hiyo????
Original from:
Original from:
Labels:
HABARI
17:55
sri limemuondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia
ya kidemokrasia nchini humo Mohamed Morsi na imemteuwa kiongozi wa muda
wa nchi baada ya maandamano makubwa yanayoipinga serikali.
Akihutubia kwa njia ya televisheni jumatano jioni, mkuu wa jeshi, Abdul
Fatah Khalil Al-Sisi alisema katiba ya Misri imesitishwa kwa muda na
mkuu wa mahakama ya katiba ameteuliwa kuwa kiongozi wa muda nchini humo.
Sisi alitangaza kwamba jeshi linaangalia watu wa Misri kufuatana na
maandamano makubwa ya upinzani yakidai kuwa Rais Mohamed Morsi ajiuzulu.
Kufuatia hotuba ya kwenye televisheni Bwana Morsi alitoa taarifa kupitia
akaunti yake ya Twitter, akiita hatua ya jeshi ni “mapinduzi kamili”.
Aliwasihi wa-misri wote kukataa hatua ya jeshi lakini pia aliwataka kuwa
na amani.
Kiongozi mpya wa muda nchini Misri, Adli Mansour ana umri wa miaka 68 ni
mkuu wa sheria katika mahakama ya juu ya katiba. Ataapishwa alhamisi.
Kama sehemu ya mwongozo mpya unaoungwa mkono na jeshi kwa nchi, sisi
aliutaka uchaguzi wa urais na wabunge, jopo kutathmini katiba na kamati
ya mashauriano kitaifa. Alisema mwongozo ulikubaliwa na makundi kadhaa
ya kisiasa.
Pia aliwasihi watu wa Misri kuepukana na ghasia. Jeshi lilimpa Bwana
Morsi saa 48 kutatua matatizo ya kisiasa au kuwepo hatari ya jeshi
kuingilia kati.
Viongozi wa jeshi walisema wataweka “mwongozo” kama tofauti kati ya
serikali ya ki-islam na wapinzani wake hawatamaliza matatizo yao ifikapo
jumatano mchana ya tarehe tatu mwezi wa saba mwaka 2013. Tarehe hiyo ya
mwisho ilipita muda wake bila ya hatua zozote kuonekana.
Bwana Morsi hakika alikataa wito wa kujiuzulu na aliapa kuendelea kubaki
madarakani hata kama itamsababishia kifo chake. Pia alilalamika jeshi
kutoa kitisho chake cha kuingilia kati katika matatizo ya kisiasa.
Baruti zilipaa angani kwenye umati wa watu wanaocheza na kupeperusha
bendera katika uwanja wa tahriri Square mjini cairo, kiini cha ghasia za
mwaka 2011 ambazo zilimuondoa Rais wa muda mrefu nchini Misri, Hosni
Mubarak.
Katika wiki ilizopita maandamano yenye ghasia kati ya wafuasi na
wapinzani wa bwana Morsi yameuwa takribani watu 40.
Jeshi la Misri limetangaza kuchukua madaraka ya nchi hiyo huku
likitangaza kuwa si mapinduzi lakini Mohamed Morsi si rais tena wa
Misri. Tayari Saudia Arabia imetuma salamu za pongezi kwa mkuu wa jeshi
la nchi hiyo kwa kuchukua madaraka.
Hali ya rais Morsi ilikuwa ngumu pale wananchi wake walipoamua kuingia
mitaani kumpinga siku chche zilizopita kwa maandamano baada ya
kujitwalia madaraka mengi kiutawala kama mtangulizi wake.
Original from: http://brownbreez.blogspot.com/2013/07/jeshi-la-misri-lamuondoa-madarakani.html
Brownbreez.blogspot.com - All Rights Reserved
JESHI LA MISRI LAMUONDOA MADARAKANI RAISI MOHAMMED MORSI

JESHI LA MISRI
LAMUONDOA MADARAKANI RAISI MOHAMMED MORSI
Written By John Alfred on Thursday, July 4, 2013 | 9:34 AM
jeshi nchini Misri limemuondoa madarakani Rais aliyechaguliwa kwa njia