Home »
VICHEKESHO
» HAYA NDIO MAPENZI YA SIKU HIZI. DUUH !!
HAYA NDIO MAPENZI YA SIKU HIZI. DUUH !!
Written By Unknown on Saturday, July 6, 2013 | 01:24
JAMAA:"I love you swty."
DEM:"I love you too...ila
tupendane tu,mambo ya ngono
sitaki namtunzia mume
atakaenioa."
JAMAA:"Hilo si tatizo,na mimi
mambo ya kuniomba pesa
sitaki namtunzia mke
nitakaemuoa!"
Post a Comment