Home »
MICHEZO
» DENT WA MWAKA WA KWANZA AIBA SIMU AINA YA BLACKBERRY NA KUIFICHA SEHEMU ZA SIRI:BALAA LAKE SASA SHUHUDIA MWENYEWE
DENT WA MWAKA WA KWANZA AIBA SIMU AINA YA BLACKBERRY NA KUIFICHA SEHEMU ZA SIRI:BALAA LAKE SASA SHUHUDIA MWENYEWE
Written By Unknown on Saturday, July 6, 2013 | 00:12
Tukio hili limetokea huko Nigeria ambapo binti anayesemekana ni wa mwaka
wa kwanza alikwenda kutembea katika hostel za wenzake na alipopata
mwanya akaiba simu aina ya Black Berry.
Hata hivyo baada ya mwenye simu kushtuka binti huyo aligoma kuichukua
simu hiyo na
ndipo watu
walipoamua kuipiga simu na kuanza kuita ikiwa sehemu za siri. Baada ya
tukio hilo wavulana kutoka vyumba vya pembeni walikuja na kumsachi huku
wakimvua nguo, hakuwa na la ziada zaidi ya kuwa mpole wakati watu
wakimpiga picha hizo za aibu
Labels:
MICHEZO
Post a Comment