Borussia Dortmund wamezindua
jezi yao mpya ya nyumbani watakaovaa msimu ujao na wamefanya hivyo kwa
namna ya kipekee. Watengenezaji wa jezi zao Puma walitengeneza mfano wa
jezi za nyumbani za Borussia kwa kutumia maua yasiyopungua 80,600
kutengeneza mfano wa jezi katika bustani ya Dortumund Westfalenpark.
Kutoka BVB.de:
Usiku wa alhamisi, PUMA ilipanda maua 80,645 , ambayo ni idadi sawa ni ya washabiki wanaoweza kuingia kwenye uwanja wa Dortmund SIGNAL IDUNA PARK, walifanya hivi katika kubuni na kutambulisha jezi mpya - kwa kutumia maua tofauti ya njano na rangi nyeusi.
Post a Comment