Home » » SHILOLE AZUNGUKA NA TAULO MAREKANI

SHILOLE AZUNGUKA NA TAULO MAREKANI

Written By Unknown on Saturday, July 6, 2013 | 00:50

Msanii Shilole ambae yuko marekani, amepiga picha inayomuonyesha akiwa nje, huku akiwa amevaa taulo.
kutokana na mtandao wa global, Shilole alifanya tukio hilo akiwa Maryland Marekani, pale alipokuwa akielekea supermarket, na baada ya kuulizwa kisa  cha kufanya hivyo hiki ndicho alichokijibu
“Huku watu wanaishi kizungu hakuna mtu anayeshughulika na maisha ya mwenzake kila mmoja anahangaika na mambo yake kwa hiyo siyo ajabu mimi kuvaa taulo na kwenda nalo supermarket, huku ni kawaida tu.”
Shilole yuko marekani kwa ajili ya kufanya show
Share this article :

Post a Comment

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. harod tz - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger