Muigizaji wa filamu nchini Tanzania Elizabeth Michael (Lulu), amefunguka
kwa mara ya kwanza tangu alipotoka rumande, kupitia kipindi cha "Take
one" kinachorushwa Clouds Tv.
Lulu ameongea mengi ikiwemo sababu za yeye kukaa kimya tangu awe huru,
mambo asiyokuja kuyasahau maishani mwake,pamoja na project anayoifanya
kwa sasa
Post a Comment